Wataalamu uhali gani hivi kati ya bachelor ya forest na bachelor ya animal science ipi nzuri

ECPENDABLE

Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
40
Reaction score
7
Wakuu naomba ushauri kati ya kusomea bachelor ya forest na bachelor ya animal science ipi ipo vizuri ki ajira pia katika usomaji ipi haipo complicated na ipi ipo kirahisi katika usomaji msaada wana JF
 
Achana na mambo ya Forest tafuta kozi ambayo atleast ukimaaliza unaweza kujiajiri. Mtaani Ajira hakuna wadogo zetu hamjifunzi tu

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Asante mzee

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Soma forest, animal science wataalamu ni wengi kwa kuwa hata watu wa agriculture general & veterinary medicine kazi nyingi mtagongana

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Dharau sana utaendaaa tuuu unajkuta hata division 1 huna unang'ang'ana na vt vya juu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Najiweza ndoman staki vitu vyaa ajabu usiforce tufanane MTU Wa kilimo na mifugo na education

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Soma forest, animal science wataalamu ni wengi kwa kuwa hata watu wa agriculture general & veterinary medicine kazi nyingi mtagongana

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Asante mtaaalam

Vipi forest IPO vizuri kwenye ajira??

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
General agriculture nayo ni nzuri

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom