ECPENDABLE
Member
- Feb 5, 2017
- 40
- 7
Bsc.Education (chemistry&biology)Aaaaah zote msalaa bora ipi sasa
Hy hpn education tnBsc.Education (chemistry&biology)
Asante mzeeAchana na mambo ya Forest tafuta kozi ambayo atleast ukimaaliza unaweza kujiajiri. Mtaani Ajira hakuna wadogo zetu hamjifunzi tu
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Asanteee kwa suggestionAtleast animal science kijana...
Dharau sana utaendaaa tuuu unajkuta hata division 1 huna unang'ang'ana na vt vya juu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Hy hpn education tn
Najiweza ndoman staki vitu vyaa ajabu usiforce tufanane MTU Wa kilimo na mifugo na educationDharau sana utaendaaa tuuu unajkuta hata division 1 huna unang'ang'ana na vt vya juu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Asante mtaaalamSoma forest, animal science wataalamu ni wengi kwa kuwa hata watu wa agriculture general & veterinary medicine kazi nyingi mtagongana
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Asante mkuuKimbilio la cbg
Private geologist
Vipi forest IPO vizuri kwenye ajira??Soma forest, animal science wataalamu ni wengi kwa kuwa hata watu wa agriculture general & veterinary medicine kazi nyingi mtagongana
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app