Wataalamu wa afya msaada tafadhari

tactitian

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
15
Reaction score
5
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale maralia parasite wataenda kwa mtu wa pili pia na kumuambukiza maralia? Au mtu kuongezewa damu yenye maralia parasite pia si inaweza sababisha maralia kwa anayewekewa damu pia?,msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Any help?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…