Yaani Mkuu nazipiga sana hizo antibiotic lakini zikiisha mwilini hali inarudi pale pale joto na baridi kali kichwa kuuma kwa mda mmoja, yawezakana ni corona maana kipindi kile sikuugua ili kuijua zaidiInawezekana ni corona...fanya kama tulivyokua tunafanya enzi za korona..kunywa panadol...piga antibayotike...kunywa maji mengi...
HIV test umefanya?Yaani Mkuu nazipiga sana hizo antibiotic lakini zikiisha mwilini hali inarudi pale pale joto na baridi kali kichwa kuuma kwa mda mmoja, yawezakana ni corona maana kipindi kile sikuugua ili kuijua zaidi
Aisee ni nini hiko jamani...basi rudia kupima.malaria tena mkuuYaani Mkuu nazipiga sana hizo antibiotic lakini zikiisha mwilini hali inarudi pale pale joto na baridi kali kichwa kuuma kwa mda mmoja, yawezakana ni corona maana kipindi kile sikuugua ili kuijua zaidi