Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ni matumaini yangu wote ni wazima ninaomba kujuzwa na watu wenye uzoefu juu ya air conditioning za magari je kuna uwezekano wa kui-tune AC ya gari iweze kutoa ubaridi zaidi ya ule ambao umetengenezwa kiwandani kama ndiyo ni jambo gani linatakiwa kufanyika ili kufanya AC itoe ubaridi mkali zaidi natamani kipupwe ndani ya gari kiwe kikali kiasi cha kuvaa sweta.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app