Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
shukrani sana....nitajaribu kiwaona wataalam wachunguze ukubwa wa hii compresorInategemeana na aina ya gari,gari kama passo sometime Ac yake huwa haikolei,mpaka ubadilishe compressor ufunge kubwa zaidi ya iliyopo,so Ac kutotoa baridi zaidi huwa pia inachangiwa na udhaifu wa compressor!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kufunga compressor kubwa ikafanya engine yako kuwa weak, yaani ukiwasha AC tu gari inachelewa kuchanganya.shukrani sana....nitajaribu kiwaona wataalam wachunguze ukubwa wa hii compresor
Sent using Jamii Forums mobile app
Point noted....Unaweza kufunga compressor kubwa ikafanya engine yako kuwa weak, yaani ukiwasha AC tu gari inachelewa kuchanganya.
Huenda hakujaza vya kutosha, ila katika conditioning system kuna component kama tatu hivi muhimu, compressor, condenser na evaporator. Moja kati ya hivyo kikipata hitilafu lazima system yote iwe na matatizo. Most likely kwenye magari compressor ndio zinakuwa na matatizo...Point noted....
Mwanzoni ilikuwa inatoa baridi kali mpka nikimpa mtu lifti anasema punguza ac....sasa kuna wakati iliisha refrigerant ikawa inatoa joto....fundi akarekebisha leakage tukajaza gesi upya....ila naona kama gesi ilijaa kwa dakika chache kuliko magari mengine niliyoyakuta hapo...sasa baada ya hapo baridi inatoka ila si kali kma mwanzo...nahisi huyu fundi hakujaza gesi ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa mchqngo wako...Huenda hakujaza vya kutosha, ila katika conditioning system kuna component kama tatu hivi muhimu, compressor, condenser na evaporator. Moja kati ya hivyo kikipata hitilafu lazima system yote iwe na matatizo. Most likely kwenye magari compressor ndio zinakuwa na matatizo...