The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri.
Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina kilevi changu.
Sasa naomba kujua kati ya maeneo haya ya burudani wapi napata kilevi changu au vilevi vipo vya kumwaga? Maison, Havoc, Tips, Samaki Samaki na maeneo mengine ya vinywaji laini.
Naomba muongozo wenu ili nianze Ijumaa hii kutembelea maeneo mazuri ya kupata vinywaji laini.
Ahsante.