Wataalamu wa Business Registration na wataalamu wa kodi (TRA) msaada tutani

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wakongwe habarini nina swali ambalo lina scenario mbili naomba ufafanuzi, ukingatia hapa ni Great Thinker forum

Scenario ya kwanza

Mimi naitwa Maduhu Wanduhu nimeanzisha kampuni yangu ya utengenezaji wa baiskeli za kutumia umeme E-bike ambapo baiskeli hizi mtu anaweza kuzikikuta maeneo maalumu karibu na vituo vya mwendokasi, Airport, bandari ya Azam, mtu anaweza ku access E-bike hiyo kwa kutumia app yake ambayo ni app maalumu ya kusaidia access ya hiyo E-bike.

sasa kutokana na aina ya wazo nimeona kuwa hili wazo litafanikiwa sana kwenye nchi ya Nethaland hasa hasa Amsterdam, lakini pia maeneo ya Ujerumani na nchi zingine za Ulaya, so nimeona kuwa ili kampuni hii ifanikiwe ni lazima nihamie Amsterdam ambapo kule nitafungua ofisi, nitatafuta engineers wa software, mobile app kwa ajili ya kutengeneza platform endeshi, pamoja na hayo nimeona ni rahisi kupata wawekezaji kutoka kule

Changamoto niliyonayo ni kwamba tayari nimefungua na kusajili kampuni hapa Tz na kupata Tin Namba na website tayari kila kitu swali najiuliza ni kwamba je

1)Naweza kurejister biashara Tanzania na HQ ya biashara hiyo ikawa ni Amsterdam na je kodi nalipa Tanzania au Amsterdam au nalipa nchi zote mbili Tanzania na Netherland?

2) Sitakuja kusumbuliwa na TRA kuhusu maswala ya kodi kuhusu aina hii ya biashara ukizingatia watumiaji wa platform hii wengi ni kutoka Europe

3)Corporate Tax hapo nalipa nchi gani?

Scenario ya Pili

Mimi naitwa Manganya Wanganya nimeanzisha kampuni yangu ya ku stream music online ambapo nitakuwa ninalenga soko la Africa likitaka kuleta ushindani na kampuni ya boooom ambayo tayari imeteka soko la music streaming Africa

Wasanii kama kina almasi, ally, phd jay, Millan, chagga gang wanakuwa wanapost music yao ba watu ku stream

Kwa kuwa kampuni ni ya tech sana nataka kusajili kuwa inatokea USA na ninataka kuweka makazi pale Redwood City, CA kwa ajili ya kuanzisha hii kampuni sababu kuu ni karibu na wawekezaji lakini pia kuna vichwa sana kwenye maswala ya IT

Changamoto niliyonayo ni kwamba bado sijafungua wala kusajili kampuni hapa Tz na bado sijapata Tin Namba na website bado

Sasa swali langu ni hili

1) Nawezaje kuanzisha kampuni USA ilhali mie niko Boko basiaya?

2) Inawezekana kabisa kuanzisha kampuni USA na ukaanza baadhi ya operation hapa nchini kwa kuanza mpaka pale utakapopata seed Financing?

3) changamoto zilizopo zikoje katika hili??

TATIZO LANGU

Nataka kufungua HQ ya startup yangu Amsterdam au Berlin au San Francisco.. je naweza register kampuni hapa kwanza nchini na niendelee na taratibu za kuanzisha na kufunga startup hiyo hizo nchi

Kama bado sija register nisi register kwanza mpaka nitakapoamua ku register kati ya hizo nchi Tajwa tatu hapo juu

Elimu ya maswala ya kikodi imekaaje...

Natanguliza shukrani
 
Mfano wa product hizo
Screenshot_20200603-152541_Instagram.jpeg
Screenshot_20200603-152502_Instagram.jpeg
 
Maswali ya shuleni kabisa haya mkuu acha kua mvivu google jinsi ya kuanzisha kampuni Uholanzi, USA, kufungua branch etc soma sheria za huko Uholanzi, USA, soma sheria za Tanzania etc hii ni pure Commercial Law...LW ngapi sijui ile
 
Mkuu hizo ni Brach nazani Kama kampuni iko Tanzania ukienda Uholanzi lazima uisajili tena huko, na swala la kodi nazani TRA watadili na hii iliopo Tanzania ndo inauo wahusu.

Kwa sababu sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi so lazima usajili kampuni kila nchi kama unataka ku oparate, na inawezekana kwenye kusajili mfano Tanzania ikawa na share holder tofauti na Uholanzi na pia tofauti na USA,

Chukulia mfano kuna Airtel Tanzania kuna Airtel Kenya na Airtel Uganda, hizo kila mmoja inalipa kodi kwenye nchi ilipo,

Wengine wanaweza jazia

Mfano kwenye suala la music streaming mfano ikaanzishwa kampuni inaitwa JUJUFY kampuni imesajiliwa Tanzania lakini operation center iko Amsterdam lakini music artist waliopo humo kwenye music streaming platform ni let's say Drake, Beyonce, wizkid na Casper Novest ambao mashabiki wake hawapo Tanzania.

Hivyo basi wanunuaji wa hizo kazi kwenye music streaming ya JUJUFY sio watanzania ni watu kutoka Europe, USA na Nigeria lakini kampuni ni ya mjasiliamali wa Tanzania na imesajiliwa Tanzania kupitia Brela na Ina Tin Number.

Kwa kuanza kampuni ilikuwa inatumia bank account ya Tanzania kukusanya mauzo yote ya online dunia nzima lakini ilivyofungua operation uholanzi ilibidi ifungue account kule na ndipo mauzo yote ya mziki yanakusanywa kule na from there ndipo rolayties zinasambazwa kwa wanamziki.

TRA ya Tanzania inaingiaje kwenye Kodi?
TRA ya Uholanzi inaingiaje kwenye Kodi?

Mkuu hizo ni Brach nazani Kama kampuni iko Tanzania ukienda Uholanzi lazima uisajili tena huko, na swala la kodi nazani TRA watadili na hii iliopo Tanzania ndo inauo wahusu.

Kwa sababu sheria zinatofautiana kati ya nchi na nchi so lazima usajili kampuni kila nchi kama unataka ku oparate, na inawezekana kwenye kusajili mfano Tanzania ikawa na share holder tofauti na Uholanzi na pia tofauti na USA,

Chukulia mfano kuna Airtel Tanzania kuna Airtel Kenya na Airtel Uganda, hizo kila mmoja inalipa kodi kwenye nchi ilipo,

Wengine wanaweza jazia
 
Sio kila mtu tumeenda shuleni kama wewe mkuu huku tuko watu wa makundi mbalimbali.. lakini lengo la kuleta hapa ni kila mmoja afaidike kwa kile ambacho nitajifunza hapa swali nililoulizwa nikijibiwa kwa ufasaha itasaidia kuwafundisha watu wengine 1,000 na hii yule aliyejibu swali atapata Baraka za watu 1,000 kwa kuwatoa tongotongo

Maisha ni elimu na elimu haina mwisho so kama unajua anything karibu tujumuike kwenye kupeana elimu, uzoefu na Mungu atakubariki
Maswali ya shuleni kabisa haya mkuu acha kua mvivu google jinsi ya kuanzisha kampuni Uholanzi, USA, kufungua branch etc soma sheria za huko Uholanzi, USA, soma sheria za Tanzania etc hii ni pure Commercial Law...LW ngapi sijui ile
 
Wakongwe habarini nina swali ambalo lina scenario mbili naomba ufafanuzi, ukingatia hapa ni Great Thinker forum

Scenario ya kwanza

Mimi naitwa Maduhu Wanduhu nimeanzisha kampuni yangu ya utengenezaji wa baiskeli za kutumia umeme E-bike ambapo baiskeli hizi mtu anaweza kuzikikuta maeneo maalumu karibu na vituo vya mwendokasi, Airport, bandari ya Azam, mtu anaweza ku access E-bike hiyo kwa kutumia app yake ambayo ni app maalumu ya kusaidia access ya hiyo E-bike.

sasa kutokana na aina ya wazo nimeona kuwa hili wazo litafanikiwa sana kwenye nchi ya Nethaland hasa hasa Amsterdam, lakini pia maeneo ya Ujerumani na nchi zingine za Ulaya, so nimeona kuwa ili kampuni hii ifanikiwe ni lazima nihamie Amsterdam ambapo kule nitafungua ofisi, nitatafuta engineers wa software, mobile app kwa ajili ya kutengeneza platform endeshi, pamoja na hayo nimeona ni rahisi kupata wawekezaji kutoka kule

Changamoto niliyonayo ni kwamba tayari nimefungua na kusajili kampuni hapa Tz na kupata Tin Namba na website tayari kila kitu swali najiuliza ni kwamba je

1)Naweza kurejister biashara Tanzania na HQ ya biashara hiyo ikawa ni Amsterdam na je kodi nalipa Tanzania au Amsterdam au nalipa nchi zote mbili Tanzania na Netherland?

2) Sitakuja kusumbuliwa na TRA kuhusu maswala ya kodi kuhusu aina hii ya biashara ukizingatia watumiaji wa platform hii wengi ni kutoka Europe

3)Corporate Tax hapo nalipa nchi gani?

Scenario ya Pili

Mimi naitwa Manganya Wanganya nimeanzisha kampuni yangu ya ku stream music online ambapo nitakuwa ninalenga soko la Africa likitaka kuleta ushindani na kampuni ya boooom ambayo tayari imeteka soko la music streaming Africa

Wasanii kama kina almasi, ally, phd jay, Millan, chagga gang wanakuwa wanapost music yao ba watu ku stream

Kwa kuwa kampuni ni ya tech sana nataka kusajili kuwa inatokea USA na ninataka kuweka makazi pale Redwood City, CA kwa ajili ya kuanzisha hii kampuni sababu kuu ni karibu na wawekezaji lakini pia kuna vichwa sana kwenye maswala ya IT

Changamoto niliyonayo ni kwamba bado sijafungua wala kusajili kampuni hapa Tz na bado sijapata Tin Namba na website bado

Sasa swali langu ni hili

1) Nawezaje kuanzisha kampuni USA ilhali mie niko Boko basiaya?

2) Inawezekana kabisa kuanzisha kampuni USA na ukaanza baadhi ya operation hapa nchini kwa kuanza mpaka pale utakapopata seed Financing?

3) changamoto zilizopo zikoje katika hili??

TATIZO LANGU

Nataka kufungua HQ ya startup yangu Amsterdam au Berlin au San Francisco.. je naweza register kampuni hapa kwanza nchini na niendelee na taratibu za kuanzisha na kufunga startup hiyo hizo nchi

Kama bado sija register nisi register kwanza mpaka nitakapoamua ku register kati ya hizo nchi Tajwa tatu hapo juu

Elimu ya maswala ya kikodi imekaaje...

Natanguliza shukrani
Mtu mwenye tabia ya kula mirungi ukimshutua wakati yuko kwenye hiyo kazi ya kutafuna mnaweza msielewane naye tena maishani mwake. Wala mirungi wakila kwenye huo mlo huwa kwenye fikra za mambo makuwa makubwa sana; mtu anaweza kuwa yuko KONDOA lakini yeye anawaza yuko NEW YORK na anafanya mipangilio ya kampuni zake zilizoko New York na kupokea taarifa za "subsidiary companies" zilizoko London, South Africa n.k
 
Kitu pekee ambacho maxence melo alipatia 2006 ni kuweka hidden ID functionality katika JF ..jambo ambalo linafanya watu humu anyways ukipata muda karibu Buni Hub uone wala Mirungi unaowasema.. usisahau kuja na pakti nyingine ya Mirungi izidi kutupa stimu ya kuzidi kuumiza kichwa..Estúpido..

Back
Top Bottom