C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Wakongwe habarini nina swali ambalo lina scenario mbili naomba ufafanuzi, ukingatia hapa ni Great Thinker forum
Scenario ya kwanza
Mimi naitwa Maduhu Wanduhu nimeanzisha kampuni yangu ya utengenezaji wa baiskeli za kutumia umeme E-bike ambapo baiskeli hizi mtu anaweza kuzikikuta maeneo maalumu karibu na vituo vya mwendokasi, Airport, bandari ya Azam, mtu anaweza ku access E-bike hiyo kwa kutumia app yake ambayo ni app maalumu ya kusaidia access ya hiyo E-bike.
sasa kutokana na aina ya wazo nimeona kuwa hili wazo litafanikiwa sana kwenye nchi ya Nethaland hasa hasa Amsterdam, lakini pia maeneo ya Ujerumani na nchi zingine za Ulaya, so nimeona kuwa ili kampuni hii ifanikiwe ni lazima nihamie Amsterdam ambapo kule nitafungua ofisi, nitatafuta engineers wa software, mobile app kwa ajili ya kutengeneza platform endeshi, pamoja na hayo nimeona ni rahisi kupata wawekezaji kutoka kule
Changamoto niliyonayo ni kwamba tayari nimefungua na kusajili kampuni hapa Tz na kupata Tin Namba na website tayari kila kitu swali najiuliza ni kwamba je
1)Naweza kurejister biashara Tanzania na HQ ya biashara hiyo ikawa ni Amsterdam na je kodi nalipa Tanzania au Amsterdam au nalipa nchi zote mbili Tanzania na Netherland?
2) Sitakuja kusumbuliwa na TRA kuhusu maswala ya kodi kuhusu aina hii ya biashara ukizingatia watumiaji wa platform hii wengi ni kutoka Europe
3)Corporate Tax hapo nalipa nchi gani?
Scenario ya Pili
Mimi naitwa Manganya Wanganya nimeanzisha kampuni yangu ya ku stream music online ambapo nitakuwa ninalenga soko la Africa likitaka kuleta ushindani na kampuni ya boooom ambayo tayari imeteka soko la music streaming Africa
Wasanii kama kina almasi, ally, phd jay, Millan, chagga gang wanakuwa wanapost music yao ba watu ku stream
Kwa kuwa kampuni ni ya tech sana nataka kusajili kuwa inatokea USA na ninataka kuweka makazi pale Redwood City, CA kwa ajili ya kuanzisha hii kampuni sababu kuu ni karibu na wawekezaji lakini pia kuna vichwa sana kwenye maswala ya IT
Changamoto niliyonayo ni kwamba bado sijafungua wala kusajili kampuni hapa Tz na bado sijapata Tin Namba na website bado
Sasa swali langu ni hili
1) Nawezaje kuanzisha kampuni USA ilhali mie niko Boko basiaya?
2) Inawezekana kabisa kuanzisha kampuni USA na ukaanza baadhi ya operation hapa nchini kwa kuanza mpaka pale utakapopata seed Financing?
3) changamoto zilizopo zikoje katika hili??
TATIZO LANGU
Nataka kufungua HQ ya startup yangu Amsterdam au Berlin au San Francisco.. je naweza register kampuni hapa kwanza nchini na niendelee na taratibu za kuanzisha na kufunga startup hiyo hizo nchi
Kama bado sija register nisi register kwanza mpaka nitakapoamua ku register kati ya hizo nchi Tajwa tatu hapo juu
Elimu ya maswala ya kikodi imekaaje...
Natanguliza shukrani