Mcheki fundi umeme mtaalamu huyu hapa, anajua kila nyaya, uimara wake na udhaifu wake.Wakuu, kwa wenye uzoefu na hizi cable:
1. Kati ya Master Cable, Africab na Tronic, ipi ina ubora zaidi?
2. Ipi ina copper nzuri zaidi?
3. Ipi ina insulation imara na inayodumu?
4. Kwa wiring ya nyumba, mnashauri ipi kwa 1.5mm², 2.5mm² na 6mm²?
5. Kuna tofauti kubwa ya bei na ubora kati yao?
6. Kwa matumizi ya muda mrefu, mmeona ipi inafanya vizuri zaidi?
Mcheki fundi umeme mtaalamu huyu hapa, anajua kila nyaya, uimara wake na udhaifu wake.
0749247920
Troni Haina mpinzani,,,vifaa vya tronic vina dumu sana,nilikuwa na cable yao imedumu kwa zaidi ya miaka 12 ,hadi nilaamua kuitupa
Bongo bidhaa nyingi ni substandard tunaibiwa sana mamlaka zimelalaWakuu, kwa wenye uzoefu na hizi cable: