... Hicho kitengo cha IT cha CCM chenye makao makuu upanga ni kwa ajili ya nini? Wameajiriwa na CCM. Wamepangishiwa pango na CCM?. Ni kikundi hatari ambacho kwa nchi huru Polisi wangewahoji kujua ofisi hiyo inamasilahi gani kwa taifa hili. Watu wasiozidi watano kupoteza mwelekeo wa Watanzania 19million kwenye matokeo ni hatari sana.
Jen Shimbo hao ni akina nani, na wanafanya nini!!??. Hao ndio watakao leta vita na wanahatarisha amani ya taifa letu. Wasakwe na wakamatwe wote.
Hongera sana Jen Shimbo kwa kuwa umeshatekeleza.:bolt: