Poleni wanajukwaa kwa kazi nzito.
Mimi nimesomea Bachelor of education in Arts ( udom) na sasa nahitaji kwenda kujiendeleza kwa kupata shahada ya pili. Wakati nasomea first degree niliwah kuchagua course za community development, project planning.
naomba mnisaidie kujua nn nikasomee, kama Ni education Ni masters gani marketable na Chuo gani. Pia garama halisi japo kwa makadirio.
Naomba kuwasilisha