Habari wakuu.
Nina Camera aina ya Canon EOS T4i 650D.
Mimi si mtaalamu wa Kamera. Tatizo langu ni pale ninapochukua Video kila inapofika Dakika 30 inajizima automatic na nikitaka kuendelea kuchukua video inabidi nibonyeze tena.
Mwanzoni nilihisi labda card ni ndogo nilikua natumia 32GB.
Nimebadili na kutumia ya 64GB lakini bado ikifika DK 30 inakata kurekodi.
Naomba msaada wenu kama ni setting nafanyaje ili irekodi bila ya kukata.