Asante mkuu racka98Hyo ni DSLR na haikuwa designed kurecord video kwa muda mrefu. Hyo limiti ya 30 minutes imewekwa kuzuia overheating sababu haikuwa designed kufanya hyo kazi kwa muda mrefu.
Sawa Mkuu.Hizo DSLR nyingi muda wake ni hiyo 30m
Unahusika na mambo ya video.?Sawa Mkuu.
Kiasi kidogo tuUnahusika na mambo ya video.?
Mm pia niko huku na mambo ya cameraman Ila sina support tuuKiasi kidogo tu
Unapiga picha kwa shughuli gani?Mm pia niko huku na mambo ya cameraman Ila sina support tuu
ZoteUnapiga picha kwa shughuli gani?
VizuriZote