Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii.
Kukusanya taarifa na kuchapisha ni gharama. Lakini mkiuza kitabu kimoja kwa laki 2 italipa. Huku vijijini tunaweza kuazimana. Mnaweza pia kuchapisha zao moja moja na kuuza kwa bei nafuu.
Kukusanya taarifa na kuchapisha ni gharama. Lakini mkiuza kitabu kimoja kwa laki 2 italipa. Huku vijijini tunaweza kuazimana. Mnaweza pia kuchapisha zao moja moja na kuuza kwa bei nafuu.