Wataalamu wa kilimo tengenezeni encyclopaedia ya kilimo bora cha mazao

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii.

Kukusanya taarifa na kuchapisha ni gharama. Lakini mkiuza kitabu kimoja kwa laki 2 italipa. Huku vijijini tunaweza kuazimana. Mnaweza pia kuchapisha zao moja moja na kuuza kwa bei nafuu.
 
Reactions: o_2
Kilimo cha Tanzania tunajufunza tukiwa shambani habari za kujifunza kwenye vitabu watanzania sio asili yetu huo ndio ukweli, lakini wazo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…