Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Wasisahau kuna ngeli ya genge!
Wasisahau kuna ngeli ya genge!
Taab ya watz ni kujua kuzungumza kiswahili lakini hawajui kuwa hawajui kiswahili sanifu. Wataalamu wa lugha ya kiswahili na watusaidie kwa hili la nominoWandugu naomba msaada wenu katika hili! Nimebishana na baadhi ya waalimu,wanadai kuna ngeli 8 za nomino ktk kiswahili.Kuna kamusi moja imetaja ngeli 12 za nomino ikiweo YA-YA,I-I na U-U ambazo waalimu wamezipinga vikali.Naombeni msaada kwa wanaozifahamu vizuri.
umepotea njia nenda jukwa la lugha.hapa 2najadili mustakhabar wa elimu sio lugha kjana..Wandugu naomba msaada wenu katika hili! Nimebishana na baadhi ya waalimu,wanadai kuna ngeli 8 za nomino ktk kiswahili.Kuna kamusi moja imetaja ngeli 12 za nomino ikiweo YA-YA,I-I na U-U ambazo waalimu wamezipinga vikali.Naombeni msaada kwa wanaozifahamu vizuri.
Wasisahau kuna ngeli ya genge!