Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kukumbatiana
Kukumbatiana
Si kila siku mnasema "hug "
Hug najuaSi kila siku mnasema "hug "
E bwana asante sana kwa kufukua kwenye kamusi.
Mie binafsi nilisikia Leo Mara ya kwanzaLugha hizo zinatumika sana kwenye ulimwengu wa soka la kibongo
HahahahhE bwana asante sana kwa kufukua kwenye kamusi.