Wataalamu wa Kiswahili naomba tujadili jambo hili

Wataalamu wa Kiswahili naomba tujadili jambo hili

Mngurimi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
819
Reaction score
790
Ni maneno gani katika lugha ya Kiswahili ambayo ukiyasoma kutoka mwisho kwenda mwanzo yanakuwa na maana ileile kwa mfano, neno UVIVU.

Karibuni..
 
Sawa kabisa japo napata walakini kwenye neno "wowowo" kama ni Kiswahili kilichosanifiwa.
 
Back
Top Bottom