benjamathayo
Member
- May 22, 2018
- 76
- 80
Watalamu wakubadi nimefanya hivi ili hilo tawi liweke mizizi kwenye huo udongo halafu nilitoe hilo tawi niipande sehemu nyingine naomba mniambie kama nitafanikiwa au nimechemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ninaomba mrejesho wa hili jaribioWatalamu wakubadi nimefanya hivi ili hilo tawi liweke mizizi kwenye huo udongo halafu nilitoe hilo tawi niipande sehemu nyingine naomba mniambie kama nitafanikiwa au nimechemka
View attachment 1460117
Jaribio halikufanikiwa ila najianda kujaribu tena kwa mara nyingineMkuu ninaomba mrejesho wa hili jaribio
Jaribio halikufanikiwa ila najianda kujaribu tena kwa mara nyingine