Wataalamu wa kubadi papai naombeni maoni yenu katika hili

benjamathayo

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
76
Reaction score
80
Watalamu wakubadi nimefanya hivi ili hilo tawi liweke mizizi kwenye huo udongo halafu nilitoe hilo tawi niipande sehemu nyingine naomba mniambie kama nitafanikiwa au nimechemka
 
Nimeona wafilipino wanafanya sana hii, faida yake huo mche utazaa baada ya mda mfupi sana. Utafanikiwa ila usisite kuleta mrejesho.
 
Hiyo ni air layering,nimeona sana kwa mti muembe.
 
Mkuu mti wako utakuwa vizuri kabisa , ila Kama una kuku fungia Maana watayadonoa🏃😂
 
Kwa papai kazi ipo maana huo mti ni sponji inaoza haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…