Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia jiko la aina gani kuchomea? Maana ishu inaanzia hapoWakuu habarini za Mida,
Nahitaji msaada kwa wale wataalamu wa kuchoma nyama ya mbuzi huwa inakua lain na yenye ladha. Naombeni tupeane maujuzi jinsi ya kuchoma na aina ya viungo vya kutumia.
Nilijaribu kuchoma majuzi ikawa ngumu kama nini[emoji1787][emoji1787]