Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 349
- 678
Habari za wakati huu ndugu zangu!
Naomba kueleweshwa juu ya kile kinachoaminika kuwa ni uwezo wa kukuza maumbile ya kiume (uume).
Nimekuwa nikiona matangazo mbalimbali toka kwa watu wanaojinasibu kuwa ni wataalamu wa kukuza viungo vya mwili ikiwemo uume.
Nachoomba kusaidiwa hapa ni;
Wataalamu hao wapo kweli?,
Kama wapo je! mbali na faida nitakayoipata baada ya kurefusha/kunenepesha hii kitu hakuna madhara yanayoweza kusababishwa na hili badiliko la kiumbo?
Naomba ufafanuzi tafadhari!
Sent using Jamii Forums mobile app