Wataalamu wa kukuza uume kweli wapo? Madhara yake ni yapi?

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
349
Reaction score
678
Habari za wakati huu ndugu zangu!

Naomba kueleweshwa juu ya kile kinachoaminika kuwa ni uwezo wa kukuza maumbile ya kiume (uume).

Nimekuwa nikiona matangazo mbalimbali toka kwa watu wanaojinasibu kuwa ni wataalamu wa kukuza viungo vya mwili ikiwemo uume.

Nachoomba kusaidiwa hapa ni;
Wataalamu hao wapo kweli?,
Kama wapo je! mbali na faida nitakayoipata baada ya kurefusha/kunenepesha hii kitu hakuna madhara yanayoweza kusababishwa na hili badiliko la kiumbo?

Naomba ufafanuzi tafadhari!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu hayo mambo wewe achana nayo.

Madhara ni makubwa kuliko faida.( vinginevyo tusubir waliowahi kufanya hivyo waje na ushahidi positive) japo baadhi ya wadau wanadai ni kweli inawezekana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaonaje ukitupia na picha ya uume ili thread ilete maana.
 
Inafanya kazi Kwa Muda ila Tatizo inakuja kurudi na inapitiliza zaidi ,Kwa hiyo ushauri wangu hapana usijaribu man ,KAA TU NA KIBAMIA CHAKO ILA KUNA NJIA YA KUMUWAHISHA KILELENI MPENZI WAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo mkuu na ni salama kabisa ukiwa na milioni Arobaini na tano,( 45,000,000) inatosha kufanyiwa huo
upasuaji na pesa inaweza kubakia.
 
Ipo mkuu na ni salama kabisa ukiwa na milioni 45,000,000 inatosha kufanyiwa huo
upasuaji na pesa inaweza kubakia.
Haaaa mkuu mbona hela nyingi Sana, mwaka Jana mwanzoni hospitali ya taifa wameanza kufanya operation hiyo ya kuongeza au kupunguza uume, japo Bei siifahamu

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…