Wataalamu wa kutafsiri ndoto msaada wenu

Wataalamu wa kutafsiri ndoto msaada wenu

Joined
Jan 15, 2025
Posts
11
Reaction score
10
Amani iwe kwenu wanajamii

Mama mjamzito usiku wa kwenda kuzaa akimuota Bikira Maria Anamzaa Yesu, kondo zimezagaa zagaaa. Hiyo ndoto inakuwa na maana gani?

Na alizaa wa kiume
 
Narudia kutoa tafsiri mtumish

Hakuna ndoto ngumu kama kuota kondoo, aliyeota hawo kondoo ana bahati sana
 
Ndoto hyo inamaana ya kwamba. Aliezaliwa badae inshallah atapata utukufu Kama wa aliyemuota aidha ktk elimu, biashara, siasa, jamii au DINI
 
Back
Top Bottom