salamu zenu wakuu! ndugu zangu, nimeona nisikurupuke just because of having an idea, naanza na wazo leo, but from tomorrow, it will be practicals na lazima nirudishe habari juu ya maendeleo ya blog yangu. naombeni sana msaada wenu wakubwa, hasa juu ya njia nzuri za kutengeneza blog nzuri na za kuvutia, jinsi ya ku update kwa wakati muafaka na jinsi ya kuvutia wasomaji wengi! je, ni lazima blog iwe na habari za aina moja tu au zaweza kuwa za mchanganyiko? je, wenye blog wanafaidika vp na blog zao? gharama za uendeshaji zikoje? naombeni michanganuo zaidi pale ambapo sijagusa wakuu!!!! mawasiliano,; 0762972021