Wataalamu wa lugha msaada hapa

Wataalamu wa lugha msaada hapa

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
955
Naombeni maana ya" mawasiliano fasilifu " hasa neno fasilifu nimechemka hata kisawe chake hamna
 
Tafuta KAMUSI KUU YA KISWAHILI kwa msaada zaidi lakini kwa kauelewa kangu kadogo hapo neno Fasili limeongezwa kitamkwa "Fu" na kuwa Fasilifu Yaani ni Mawasiliano toshelevu/yaliyojitosheleza na kujidadavua yakakamilika.

NB: Nipo radhi kukosolewa.
 
Back
Top Bottom