test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 955 Nov 22, 2019 #1 Naombeni maana ya" mawasiliano fasilifu " hasa neno fasilifu nimechemka hata kisawe chake hamna
S Single Phase JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 259 Reaction score 375 Nov 22, 2019 #2 Tafuta KAMUSI KUU YA KISWAHILI kwa msaada zaidi lakini kwa kauelewa kangu kadogo hapo neno Fasili limeongezwa kitamkwa "Fu" na kuwa Fasilifu Yaani ni Mawasiliano toshelevu/yaliyojitosheleza na kujidadavua yakakamilika. NB: Nipo radhi kukosolewa.
Tafuta KAMUSI KUU YA KISWAHILI kwa msaada zaidi lakini kwa kauelewa kangu kadogo hapo neno Fasili limeongezwa kitamkwa "Fu" na kuwa Fasilifu Yaani ni Mawasiliano toshelevu/yaliyojitosheleza na kujidadavua yakakamilika. NB: Nipo radhi kukosolewa.
S Sharon peter mlay New Member Joined Nov 24, 2019 Posts 2 Reaction score 4 Nov 24, 2019 #3 Naombeni kujua lugha ya kichaga ina irabu ngapi
barracks Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 103 Reaction score 25 Aug 28, 2022 #4 Naomba kujua maana ya lugha jongezi
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Aug 28, 2022 #5 Sharon peter mlay said: Naombeni kujua lugha ya kichaga ina irabu ngapi Click to expand... Kichaga ni kibantu kwani?
Sharon peter mlay said: Naombeni kujua lugha ya kichaga ina irabu ngapi Click to expand... Kichaga ni kibantu kwani?