Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa!

Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya?

Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya msingi?

Binafsi naweza kuwa sijaelewa maana halisi ya neno PISI nakubali kurekebishwa lakini naona kama haiko sawa sawa kwa media kuunga mkono lugha hizi.

Nategemea lungu litawashukia siku sio nyingi!

Asante
 
Na kuna pisi ni kali balaa pisi ni lain moja na zipo za lain mbili *****
 
Back
Top Bottom