PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,102 Reaction score 1,919 Apr 30, 2018 #1 1.Nini asili ya neno ''KISWAHILI'' nimegoogle zijaipata 2.Ni ipi maana sahihi ya push-up kwa kiswahili,ukiachilia mbali ''kushinikiza? 3.Kuruka ki-chura chura,nashauri ibadilishwe tuwe na neno moja kwa kiswahili, ''KWIRUKARUKA''
1.Nini asili ya neno ''KISWAHILI'' nimegoogle zijaipata 2.Ni ipi maana sahihi ya push-up kwa kiswahili,ukiachilia mbali ''kushinikiza? 3.Kuruka ki-chura chura,nashauri ibadilishwe tuwe na neno moja kwa kiswahili, ''KWIRUKARUKA''