"Sync" ni kifupi cha "synchronize" (kitenzi) ama "synchronization" (nomino). synchronize ingekuwa landanisha na synchronization, mlandanisho, kufuatana na klnX IT Glossary (The Open Swahili Localization Project iliyoendeshwa na Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2009).