NGARUKA JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 401 Reaction score 70 Apr 23, 2015 #1 Kuna hawa watu laboratory technician wa shule za sekondari.awali nlisikia wanaajiriwa pamoja na walimu.kuna mwenye kujua zaidi? naona ni walimuti sasa ndo habari ya mjin
Kuna hawa watu laboratory technician wa shule za sekondari.awali nlisikia wanaajiriwa pamoja na walimu.kuna mwenye kujua zaidi? naona ni walimuti sasa ndo habari ya mjin
M malimi katoro JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 358 Reaction score 153 Apr 24, 2015 #2 AJira hazipo kwa hao watu,walimu wanatosha kusimamia maabara