hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Jun 30, 2019 #1 Kuna kitu nimegundua kwenye gari yangu siku za karibuni nikifunga break gari inahama kabisa barabaran hasa nikiwa kwenye speed 80 je tatizo ni nn? Aina ya gari ni nissan teana 250
Kuna kitu nimegundua kwenye gari yangu siku za karibuni nikifunga break gari inahama kabisa barabaran hasa nikiwa kwenye speed 80 je tatizo ni nn? Aina ya gari ni nissan teana 250