Wataalamu wa magari njooni mjibu hili swali

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu?

Siku zote nayaonaga Leo nimeamua niulize gari lina vioo tintedi yaani uwezi kumuona mtu wa ndani full black.

Swali langu hivi kwenye sight mirror dereva anaonaje kama nyuma kuna gari au kuna mtu?

Au wao gari zao azirudi nyuma? zinaenda mbele tu.

Nawasilisha.
 
Ukiwa ndani unaweza kuona nje... hiyo huita american tinted...
Ingawa kwa usiku uono huwa afifu..
 
Usijali maliza shule kwanza utajua tu
 
You are not serious bro!
 
Cc: Wenye magari wakuje, maana sie wenye baiskeli huwa tunafanya kugeuka tu nyuma...[emoji6] [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…