SI au TI?Carina iko mbele zaidi ya IST sidhani kama kuna haja ya kujiuliza mara 2 kuhusu kufanya uamuzi...
Hii gari unaweza kutoka dar- songea ukarudi tena dar unaenda Mwanza na chuma bado inadai Safar tu
TiSI au TI?
Kwa swala matumiz ya mafuta chukua ist, hata uimara pia ipo vizur kma ukiitunza inatunzika, carina pia ni ngumu lakini ina injin la kizaman, nakushaur uchukue gari yenye injin ya kisasa(yaa vvt-i engine)Habari zenu waungwana..!!
Nimepita kuwasalimia tuView attachment 1249011