Nataka kufahamu swala fulani hususan kwa hizi ndege zenye engine za propeller .kama Cessna ,pilatus 12 n.k. Je, hizi ndege zinapokuwa zinaruka angani futi kadhaa mlio wa ingini hubadilika au inakuwaje?
Nimeuliza hivyo kwa maana ya kuwa ni kitu nimeki observe kwa muda mrefu hadi sasa.mfano unakuta ndege aina ya Cessna 208B inaporuka umbali wa futi kama 16000 mlio wa sauti ya injini itakayotoa ni tofauti na sauti itakayotoa ikiwa inaruka tuseme umbali wa futi 2000 au 1500.
Wajuvi wa haya maswala ya ndege naomba mnisaidie kwa hili.
Mlio hubadilika kutokana na kuongezeka kwa air resistance inapokuwa chini air resistance huwa ndogo ikiwa juu huongezewa hivyo mlio kubadilika na ingine kutumia nguvu zaidi
Mlio hubadilika kutokana na kuongezeka kwa air resistance inapokuwa chini air resistance huwa ndogo ikiwa juu huongezewa hivyo mlio kubadilika na ingine kutumia nguvu zaidi