Wataalamu wa mitumba Kanda ya ziwa pita hapa

Wataalamu wa mitumba Kanda ya ziwa pita hapa

Labile

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
58
Reaction score
63
Habari zenu mabibi na mabwana.

Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali?

Natanguliza shukrani.

1627024936218.png
 
Back
Top Bottom