Wataalamu wa nguo aina ya kadeti

hizi zinapatikana wap mkuu???
Kwenye maduka makubwa ya nguo za mtumba za kiume,huwez kosa tena wakat huo nikiwa arusha ndo nilkuwa nanunua kwa 25k lakin sasa npo sengerema kuna jamaa kafungua duka kubwa anaziuza 15k
 
Kabisa mkuu. Juzi kati nimeshangaa kuzikuta soko la Memorial-Moshi kwa 10k. Nzuri kabisa na hazipauki haraka kama hizi jeep.
nina jeep ya miaka 3 na haijapauka,mkuu nyie mnavaa jeep gani inapaukq
 
nina jeep ya miaka 3 na haijapauka,mkuu nyie mnavaa jeep gani inapaukq

Embu tupia picha tuione hiyo kama hutojali, wengi hapa nimeona wanachanganya aina ya kadeti anayozungumzia jamaa.. Zinaitwa Chinos kwa jina lingine, huwa zinavutika hivi kitambaa chake, wengi hapa wanaosifu zao hazipauki, wanazungumzia kadeti za kizamani zile za ngumu kibox..
 
haina shida,kesho asubuhi nitatupia mkuu, yah ni kweli kuna aina mbili za cadet na sometimes tatu, kuna hizo mbili umetaja na kuna midabwada sahivi imeingia inauzwa elfu kumi na tano, inataka kufanana na za kuvutika
kununua cadet kunaitaji kichwa kitulie,nimewahi kubahatisha celvin klein moja imesimama hatari
 
Mkuu tunasubiri utupie
 
Kwanza rang nayo inamata.bora kadet za khak haionesh mpauko haraka
 
buguruni kuna kadet buku 10 tu kuna siku nimezisomba kama 6 hivi ,ni hizi za kumwagwa mezani

hizi hata zikipauka baada ya miezi 2 sio hasara sana
 
Nilinunua cadet ya polo! Tangu Agosti 2021 hadi leo haijapauka.
Nitalazimika kuagiza nyingine kanda ya ziwa. Nadhani hizi zinatoka Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…