Wataalamu wa Physics na wadau wa elimu

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Je text book ya darasani ya olevel toka form one hadi form four inakidhi haja ya mwanafunzi kuona utamu wa physics na kufaulu?
 
physics ni life .vitabu vya bongo magumash.soma vya nje. ndo utajua utamu wake
 
vimechapwa lini vitabu vya form one mpaka form four physics?

vilianza kutolewa msaada mwaka 2010 baadae mwaka 2012 vikaanza kuuzwa rasmi.. vimechapwa kwa interval ya vidato viwili yani kuna vya form 1&2 na form 3&4
 
Kwani kwa sasa TIE wamesuggest vitabu gan vya physics vitumike mashuleni...,kingne hiv wenzangu mshawah kuviona vitabu vya TIE advance phyics tofauti na charnd 1 na 2,nelkon roger muncaster na vitn vingne?
 
ordinary level physics: nilisoma, atkinson, abbot, nelcon, na physics for you. vya siku hizi sivijui.
 
Je text book ya darasani ya olevel toka form one hadi form four inakidhi haja ya mwanafunzi kuona utamu wa physics na kufaulu?

hiki ndo kilinishitua maana sikuwahi kukisikia kabisa.

vimechapwa lini vitabu vya form one mpaka form four physics?

VAN HEIST hapa ndo maana nikakuuliz.a nijue pengine kuna vitabu vingine vya form one mpaka form four.

vilianza kutolewa msaada mwaka 2010 baadae mwaka 2012 vikaanza kuuzwa rasmi.. vimechapwa kwa interval ya vidato viwili yani kuna vya form 1&2 na form 3&4

kama ni hivi navifahamu.

hivi ni vitabu vizuri kuliko vya mwanzo.

lakini vina kasoro kuu mbili.

1.kuna maeneo ni vigumu sana kuvielewa hasa kwenye maswala ya derivation, waliviandaa vibaya.
2.vina typing errors ila sizinahimilika
3.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kwa sasa TIE wamesuggest vitabu gan vya physics vitumike mashuleni...,kingne hiv wenzangu mshawah kuviona vitabu vya TIE advance phyics tofauti na charnd 1 na 2,nelkon roger muncaster na vitn vingne?

hawana kitabu chochote cha sayansi advance.

siyo physics pekee.

na ndio maana mimi huwa napinga sana wale wanaosema tutumie kiswahili kufundishia mpaka chuo kikuu.

kama hata vitabu vya advance tumeshindwa kutunga kwa miaka yote toka tupate uhuru,je itakuwaje mpaka chuo kikuu
 
ndio nilishawah kufundishia vijana fulani wa kidato cha nne apo kwenye derivation walishindwa kuelewa ilibidi nitumie uzoefu wangu katika physics ku derive kwa njia nyingine waelewe japokua o level hawaulizwi derivation ingawa inamjengea mazingira ya kutokariri kanuni bila kujua ilipotokea na inakua rahisi kukumbuka endapo atasahau sehemu ya kanuni husika..

vitabu kuanzia form 1 mpaka 4 ni abbot, atkinson na nelkon hakuna vingine
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo kwa walimu wanao tumia vitabu hivyo kuandaa notes kwa copy and paste, mkuu derivation ni lazima kwa physics kuulizwa kupo kwa namna nyingi mfano tafuta power kwa kutumia Force na Velocity kama anajua POWER=WD/T atashuka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…