KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Heshima iwe kwenu ninahitaji kupaka rangi kakiberiti kangu sasa ktk pitapita mitandaoni nikitafuta rangi gani itakayotuliza mapepo yangu nikakutana na rangi hiyo hapo pichani Sasa tatizo limekuja nitamuelekezaje fundi maana fundi kaniuliza una namba ya hiyo rangi?? nikakwama nikatafuta app inayoweza kudetect rangi nimekwama nisaidieni kama kuna mtu humu anawafahamu wapiga rangi wenye zile orodha za aina za rangi za magari wanisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app