KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Mwambie ukupe Tigo Pesa yake chap umuwezesheMkuu nakushukuru sana tena sana nimehangaika sana kupata jina la hiyo rangi bila mafanikio umenisaidia sana. JF IDUMU MILELE
Sent using Jamii Forums mobile app
Code ni C16.Nashukuru sana mkuu nikienda kwa wachanganyaji wa rangi za magari nikawaambia nahitaji rangi inayoitwa hivyo itatosha au hadi watahitaji niwapatie na namba(code) za hiyo yangi
Sent using Jamii Forums mobile app
No need boss. We are here to help eachother.Mwambie ukupe Tigo Pesa yake chap umuwezeshe
Kwahiyo unadhani ni rangi gani?Mkuu Bavaria naona kama kuna kautofauti kidogo au ni macho yanguView attachment 1054716View attachment 1054717
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo rangi ndiyo yenyewe, rangi ikiwa mpya kabisa hungaa sana, ikishapigwa na mwanga kwa muda huwa ung'avu wake hupungu, chukua gari yoyote nunua rangi ya code ya gari yako ipige utaona utofauti wa ukolevu na ung'avu wa sehemu ya rangi uliyopiga, ila baada ya miez patakuja kufanana hasa baada ya kupigwa na juaMkuu Bavaria naona kama kuna kautofauti kidogo au ni macho yanguView attachment 1054716View attachment 1054717
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.