Wataalamu wa sheria mnijuze kuhusu Affidavit

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
149
Reaction score
45
Habari wana jf hususani wataalam ndani ya jukwaa hili. Kusema kweli nimekuwa nikisikia tu hili neno likitajwa( affidavit), lakini sijabahatika kupata ufafanuzi wa kina kwamba ni kitu gani? Kinatumika wapi na ukomo wake ni upi? Kwa minajili ipi hasa?. Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna mtumishi mwenzangu ana likizo ya malipo Mwezi ujao ana cheti cha kuzaliwa mtoto wake lakini hajafunga ndoa na mkewe(hana cheti cha ndoa) but aliniomba nimsindikize mahakamani akapate affidavit kama supporting document ya kwamba ameoa pamoja na uthibitisho wa mtegemezi wake ili aambatanishe kwenye maombi ya fedha ya likizo. Je kuna uwezekano wa kitu kama hicho? Naomba wataalamu mnieleweshe

N.B jamaa yangu ni mtumishi serikalini kada ya afya
 
shortly affidavit ni kiapo, hii hutolewa pale mtu hana cheti che kuzaliwa au chet cha aina hiyo hivyo anaender kwa hakimu au mwanasheria kuthibitisha kuwa japo hana cheti cha kuzaliwa lakini ni raia. in document inayo sainiwa na hao
 
Asante mkuu kwa ufafanizi
 
how old are you hujui kitu muhimu kama hicho utajua kuhusu escrow account ni mdudu gani kweli kama hujui affidavity
 
how old are you hujui kitu muhimu kama hicho utajua kuhusu escrow account ni mdudu gani kweli kama hujui affidavity
Hulazimishwi kuchangia mkuu ukiona inakukera unapita tu
 
Ni hati ya kiapo inayotoa maelezo ya kuthibitisha ukweli wa jambo fulani. Hati hii ya kiapo huapishwa mbele ya kamishina wa viapo.
 
how old are you hujui kitu muhimu kama hicho utajua kuhusu escrow account ni mdudu gani kweli kama hujui affidavity

do u know everything?, kama unalielewa vizuri sakata la escrow, je mkono anahusikaje?
 
do u know everything?, kama unalielewa vizuri sakata la escrow, je mkono anahusikaje?
ahahahaha mi najua mguu mkono simjui,mkono naye fisadi tu kala bilioni 62 za tanesco profesa mwongo kampiga chini kaamua kumwaga ugali,mkono aliwahi kuiba mabilioni enzi za nyerere ,akaambiwa asionekane nchini au atanyongwa akakimbilia manchester
 
...hahaa, umenifurahisha mkuu, haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…