Mkatabata wa muda mfupi mkuu
Kuna aina tatu za mikataba kwa mujibu wa Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini, aina hizo ni;Ninahitaji kuwa na mtu/ binti atakayesaidia shughuli ndogondogo kama vile usafi , kutumwa posta na kwingineko .
Atakuwa anakuja asubuhi muda wa kufungua ofisi na anaondoka muda anaomaliza majukumu ya usafi.
Je, ni mkataba wa aina gani natakiwa kuingia nae ili isije nisumbua baadae?
Kumbuka sitaki kumwajiri.