Mwambie fundi acheck engine mount. Huwa zinakuwa mbili nenda kabadilishe.ukibadilisha hizo gari inatulia huwezi amini.mimi nmekuwa nayo miaka 3 sasa haina usumbufu wowote. Kuna kipindi engine mount zilikatika ikawa inatetemeka.nkabadili.kuanzia hapo ikawa hata ukiwasha gari unaweza dhani haijawashwa maana imetulia sana