Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Harrier 240GGari gani?? Kama unapesa tafuta
1. Bf goodrich
2. Goodyear
3. Bridgestone
4. Ceat
5. Continental
6. Dunlop
Ila bei zake zimechangamka
Bei zikoje?Gari gani?? Kama unapesa tafuta
1. Bf goodrich
2. Goodyear
3. Bridgestone
4. Ceat
5. Continental
6. Dunlop
Ila bei zake zimechangamka
Hiyo chukua za china tu
Chukua Michelin zipo Superdoll tairi moja si chini ya laki 8 hii bei bila Vat@
Hii ndio tairi sasa. Na bei hua zinatofautiana kwenye same brand na size.Chukua Michelin zipo Superdoll tairi moja si chini ya laki 8 hii bei bila Vat@
Go for Triangle. You won't regret.! Imekaa vizuri hata kwa muonekano na profiles zimekaa vyema sana.wadau Nawasalimu.
Naomba kujua ni TYRES za Brand gani ni nzuri IMARA na zina Ubora kufunga kwenye Gari.Sasa hivi kuna Tyres za MAKAMPUNI Mengi mpaka kujua Uimara na Ubora imekuwa Kazi sana ILA Tyres ziwe za KASHATA NDOGO SIZE 225/65/R17.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app