Wataalamu wa vyombo vya majini?

Wataalamu wa vyombo vya majini?

Joined
Mar 24, 2015
Posts
12
Reaction score
6
Msaada kwa wataalamu wa vyombo vya majini; FIRE BARGE ndio nn, na bei zake zikoje?na Identification barge with name and check number inauzwaje pia?
 
Mcheki Dennis Kafuku pm for his number ni engineer yupo Songoro
 
Fire Barge ni sawa na Fire Boat, hii inatumika kuzima moto na uokoaji katika eneo la bandari na meli kama inawaka moto. Kwenye Identification Barge itaelezea aina gani ya injini,pump iliyofungwa na Tanki na uwezo wa Nozzle ya kumwaga maji ndani ya dakika au lisaa na uwezo wa kufanya manourve inapofanya kazi ya kuzima moto.

Check Number utaipata kwenye check yenu ya kulipia manunuzi ya boti.
 
@salvatorychuma

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom