SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
Baada ya mafuta kupanda bei mara dufu, nimeamua kuuza Brevis yangu kwa mil 6 kwani ilikuwa inakunywa sana mafuta.
Nimeamua ninunue pikipiki na chaguo langu ni Kinglion. Sina uzoefu sana na pikipiki japokuwa naweza kuendesha. Hivyo naomba wataalamu kesho naenda kununua mnielekeze mambo ya kuzingatia ili mwanajf mwenzenu nisijepigwa. Tafadhali karibuni kwa ushauri