Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Naomba kuuliza
Hivi kwa mfano mtu anazungumzia maswala ya demu wake wewe utachangia nini sasa?
mazungumzo hayakataliwi lakini zungumzeni kitu ambacho kila mmoja atashiriki..!!
mawazo yangu tu wadau.