Kingeke Mavoya JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 619 Reaction score 598 Jan 28, 2017 #1 Naomba kuuliza Hivi kwa mfano mtu anazungumzia maswala ya demu wake wewe utachangia nini sasa? mazungumzo hayakataliwi lakini zungumzeni kitu ambacho kila mmoja atashiriki..!! mawazo yangu tu wadau.
Naomba kuuliza Hivi kwa mfano mtu anazungumzia maswala ya demu wake wewe utachangia nini sasa? mazungumzo hayakataliwi lakini zungumzeni kitu ambacho kila mmoja atashiriki..!! mawazo yangu tu wadau.