Hata eminem unajua ni producer? Swiss beats, jamaine dupri, hata hans zimmer ni composer na producer. Bila kumsahau kanye west ambaye beat zake nyingi zina vocals za gospel.Siku nyingine ukitaka producer mzuri watafute hawa..
1. Dr. Dre
2. Scot toch
3. Timberland
mzee wa vinanda2. Scott Storch
AminiNyimbo nyingi za bongo mastering yake mbovu, nyingine zina distortion lakini hatujali zina hit mtaani.
Oiii baba weka baharia π we kama siyo makelele ni nini.
Jey helody msanii mpya auKuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu.
Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa.
Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida.
Unasound kama umeweka speaker kwenye ndoj
Hili ni Ukweli MtupuNyimbo nyingi za bongo mastering yake mbovu, nyingine zina distortion lakini hatujali zina hit mtaani.
Oiii baba weka baharia π we kama siyo makelele ni nini.
Mastering alikuwa anaiweza P Funk tu! Sikiliza nyimbo 100 za P Funk utashangaa hazijapishana quality kabisa! Weka volume 15!Nyimbo nyingi za bongo mastering yake mbovu, nyingine zina distortion lakini hatujali zina hit mtaani.
Oiii baba weka baharia π we kama siyo makelele ni nini.
Ni kwel unayosema,kuna nyimbo za zaman znakita vzur kwenye speaker kuliko hata za sasaMastering alikuwa anaiweza P Funk tu! Sikiliza nyimbo 100 za P Funk utashangaa hazijapishana quality kabisa! Weka volume 15!
Weka nyimbo kumi tu za Eyo Laizer! Utanipa majibu! Weka volume 15 ile ile! Utagundua kuna nyimbo za laizer zina makelele sana zingine zimepoa kidogo